Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipokea zawadi ya kikombe kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene ikiwa ni ishara ya Ofisi hiyo kutambua mchango wake wa kuendeleza michezo wakati akiwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo . Mheshimiwa Majaliwa alizungumza na watumishi wa TAMISEMI mjini Dodoma Januari 21, 201.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa wa TAMISEMI baada ya kuzungumza nao mjini Dodoma Januari 21, 2016.Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Benard Makali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI , George Simbachawene baada ya kuzungumza na Watumishi wa Ofisi hiyo mjini Dodoma Januari 21, 2016. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Benard Makali na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliudi Sanga.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...