Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu mara alipowasili Mkoani Mtwara kwa Ziara ya Kukagua miradi inayotekelezwa na Wizara hiyo,kulia ni Mkuu Mkoa wa Mtwara Bi.Halima Dendegu na kushoto ni Katibu Mkuu sehemu ya Mawasiliano Prof.Faustin Kamuzora.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akikagua Mitambo ya Mawasiliano ya TTCL Mkoani Mtwara kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Dkt.Kamugisha Kazaura na wadau wengine wa mawasiliano.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akizungumza na baadhi ya abiria wanaotumia kivuko cha Mv.Mafanikio kabala ya kuanza kwa safari kutoka Msangamkuu kwenda Msemo.
Mojawapo ya Meli kubwa zinazotia nanga katika bandari ya Mtwara ikiwa tayari kwa kupakua mzigo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...