Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini na mmiliki wa Busagaga's Orijino blog akifurahia jambo na Mama yake mzazi ,Mwalimu Eustera Massatu.
Dixon usagaga akionesha zawadi alizoanza kupokea.
Dixon Busagaga akiendelea na majukumu ya kila siku.

"Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunipa pumzi ya uhai hadi sasa Nawashukuru wazazi wangu ,Mwl Eustera Massatu na Abdalah Hussein Mbaruku kwa malezi waliyonipatia,nawashukuru ndugu,jamaa na rafiki zangu wote na hasa mke wangu kwa kuendelea kunifunza"

"Mungu aawatangulie nyote mnaonendelea kutoa mchango mkubwa wa mawazo"
"Munu awabariki sana, Ameen."

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...