Leo, ilikuwa saa, siku, mwezi, hatimae miaka 26 imepita toka baba yetu mpendwa ututoke ghafla trh 3/2/1990 nyumbani kasulu kigoma, lkn kimwili kaupo nasi ila kiroho upo nasi, tutakukumbuka baba yetu kwa upendo,ukarimu, uchangamfu wako, unakumbukwa na mkeo Monica nkaliguye, wanao Rose, Ruth, sara, Edina, Rutegama, Eliwaja na Barnabas na wajukuu Steven na wakwe zako, misa ya kumuombea Marehemu itakuwa kanisa la kkkt kitanda relini jumapili hii, Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake litukuzwe, Ameni
Home
Unlabelled
kumbukumbu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...