Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKI ametembelea kituo cha radio cha Efm 93.7 katika ofisi zao na kuonana na wakurugenzi pamoja na watangazaji wake kwa lengo la kubadilishana mawazo sambamba na kuona jinsi gani kituo hicho kinavyoendesha shughuli zake za utangazaji.

Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKIakiteta jambo na mkurugenzi mkuu wa Efm radio Francis Siza leo asubuhi.
Akiwa pamoja na watangaziji wa kipindi cha Sports HQ (kulia) Maulidi Kitenge na (kushoto) Ibrahimu Masoud (Maesro)
Picha ya pamoja na mtangazaji wa kipindi cha UHONDO Dina Marios na Mchekeshaji wa orijino Komedi alimaarufu kama MPOKI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...