Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Michael Mhando akizungumza Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza.
MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti wa kwanza kushoto akiimba nyimbo ya solidarite na wafanyakazi wenzake wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya uliofanyika leo mjini Tanga.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...