Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC chaiijia juu ZEC na kudai haifai kusimamia uchaguzi wa Zanzibar kwani imepoteza sifa.https://youtu.be/u9Tyv1M6DrI
Taasisi na jumuiya za kiislamu nchini zapinga marudio ya uchaguzi visiwani Zanzibar huku zikitaka CUF NA CCM kukaa pamoja na kutafuta suluhu juu ya mkawamo huo wa kisiasa. https://youtu.be/0BJLsFV_DSQ
Utafiti wabaini kuwa vya vya kisiasa vimekuwa kikwazo kikubwa katika kuwezesha wanawake kuingia katika ushindani wa kisiasa licha ya wanawake kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali. https://youtu.be/q4CiclGP5Kg
Moto mkubwa wateketeza jingo lenye maduka matano wilayani Monduli na kusababisha hasara ya takribani shilingi milioni 200.https://youtu.be/teF2p77Kd9Y
Baadhi ya wakazi wilayani Kilosa mkoani Morogoro waiomba serikali kuingilia kati mgogoro kuhusu shamba baada ya kudaiwa kuuzwa licha ya kesi kuwa mahakamani. https://youtu.be/myeF-d1u114
Jaji mkuu wa Kenya aishauri Tanzania kukaa kwa pamoja na kujadili kwa kina baadhi ya mambo yaliyoibuka katika kipindi cha uchaguzi ikiwemo mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar kwani kwa namna moja au nyingine yanaweza kutia doa sifa ya nchi. https://youtu.be/9uyJaVoRWkA
Serikali yatakiwa kutekeleza mradi wa kusambaza kwa kasi umeme katika maeneo mbalimbali nchini ili kupunguza uharibu wa mazingira;https://youtu.be/OHuHSoMpPKk
Jaji mkuu wa Kenya, Dkt. Willy Mtunga atoa rai kwa serikali ya Tanzania kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya;https://youtu.be/qAzojfptgaU
Mwalimu mmoja mkoani Geita aliyefukuzwa kazi kwa kosa la kushiriki ngono na mwanafunzi aishi katika chumba cha darasa kwa muda wa miaka 10;https://youtu.be/Tu_FLXs5VRU
Fahamu alichokisema waziri wa nchi ofisi ya Rais George Simbachawene wakati akizungumzia suala la elimu bure na changamoto zilizojitokeza mpaka sasa;https://youtu.be/uLfNNm7OvHw
Wakulima wa mazao ya Nafaka wilayani Rombo waiomba serikali kutatua haraka tatizo la uhaba wa Pembejeo za kilimo; https://youtu.be/nbi7QK19MdU
Chama cha haki miliki Tanzania COSOTA chaanza kupambana wizi wa kazi za wasanii; https://youtu.be/-AH7dDJbe0w
Baadhi ya mawakili kutoka nchini Brazili wataka mshambuliaji wa timu ya Barcelona, Neymar Da Silva Santos ashitakiwe kwa kosa la kutolipa kodi;https://youtu.be/EABfbbWLsH0
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zasababisha kuharibika kwa miuondombinu katika wilaya ya Ileje jijini Mbeya; https://youtu.be/q-Xyf-nsoRc
Mamlaka ya hali ya hewa nchini yatoa tahadhari ya upepo mkali na mawimbi makubwa kuanzia tarehe nne hadi tarehe tano mwezi wa pili;https://youtu.be/Yn2ly75bQCg
Shamra shamra za kuadhimisha miaka 39 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi zashika kasi mkoani Singida; https://youtu.be/jAFf4lPaotM
Rais John Magufuli aamua kuanzishwa rasmi kwa mkoa wa Songwe pamoja na wilaya ya Songwe; https://youtu.be/F7O8-SX2xgo
Serikali yasema haitatoa misamahaa ya kodi isiyo na tija kwa makampuni binafsi ili kuongeza mapato na kukuza uchumi wa taifa;https://youtu.be/0KnA7Uk93X8
Inaelezwa kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli nchini yashuka kutokana na kushuka kwa bei katika soko la dunia; https://youtu.be/K2FWKfcUSCM
Timu ya Simba yaitandika bila huruma Mgambo JKT kwa jumla ya goli 5-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa hii leo jijini Dar es Salaam;https://youtu.be/wriJNVAvHks
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...