SIMU.TV: MKuu wa wilaya ya Lindi amemtaka mkurugenzi wa manispaa hiyo kuhakikisha watumishi wa halmashauri wanashiriki katika zoezi la usafi wa wilaya;https://youtu.be/EFdPVJML0cE
SIMU.TV: Utoroshaji wa korosho pamoja na ucheleweshaji wa malipo kwa wakulima mkoani Mtwara wazua mapya mkoani humo; Utoroshaji wa korosho pamoja na ucheleweshaji wa malipo kwa wakulima mkoani Mtwara wazua mapya mkoani humo.
SIMU.TV: Bondia Francis Cheka na bondia raia wa Serbia Gearad Ajetovic kutunishinana misuli leo katika uwanja wa leaders Club Dar es Salaam;https://youtu.be/A7s1UFbZUeo
SIMU.TV: Mswis Gianni Infantino atwaa taji la urais wa shirikisho la kandanda duniani FIFA akimrithi Sepp Blatter aliyejiuzuru mwaka jana; https://youtu.be/jfgAPKt24Ws
SIMU.TV: Jifunze mengi kutoka kwa Kamshina wa haki za binadamu kutoka visiwani Zanzibar akikuelimisha mengi kuhusu haki za watotohttps://youtu.be/LmbcOMMkWmA
SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka kwa makocha wakikujuza kuhusu masuala ya michezo ususani maendeleo ya mchezo wa kuogelea https://youtu.be/QvAXrxn7jcE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...