Mtanange wa Yanga na Tanzania Prison watoka Sale ya gori Mbili
kwa Mbili ambapo Mchezaji wa Timu ya Yanga Hamis Tabwe
alifunguwa Lango la Timu ya Tanzania Prison kwa Gori la kwanza Dakika
ya 36 kisha Jeremia Juma Mchezaji wa Tanzania Prison kusawazisha Bao
la kwanza Dakika ya 41 kwa Timu yao ya Tanzania Prison, kisha Mhammed
Mpoki Mchezaji wa Prison kuongeza tena Gori la pili Dakika ya 63 kwa
Timu ya Prison na Saimoni Msuva kutoka Yanga kusawazisha Gori la pili
kwa Timu ya Yanga ikiwa ni muendelezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania
bara.
Kikosi Kazi cha Timu ya Yanga.
Kikosi Kazi cha Timu ya Tanzania Prison..
Baadhi ya mashabiki wa Timu ya Prison walio zuwa Gumzo
Uwanjani mara baada ya Kumwaga Razi kwa kuvuwa Nguo zao kuishangilia
Timu yao ya Prison iliyokuwa ikichuwana na Yanga katika Uwanja wa
Sokoine Jijini Mbeya.
Mashabiki kinazi wa Timu ya Dar es salam Young Africa
wakishangilia Timu yao ya Yanga.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO wa GLOBU YA JAMII
MBEYA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...