
Wanafunzi wa Chuo cha St. Joseph tawi la jijini Dar es Salaam wakitawanywa na askari wa kutuliza Ghasia (FFU) leo wakati wanafunzi hao wakiandamana wakielekea wizara ya elimu, Sayansi na mafunzo ya Ufundi kudai kushinikiza chuo hicho (Kampasi)tawi la Arusha kifunguliwe.
baada ya tawi hilo kufungiwa na TCU wiki iliyopita.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
maksi za form 6 mbaya, mmepata baraka ya kusoma chuo kikuu (japo si kizuri kihivyo) halafu mnaleta fujo na vurugu.
ReplyDeletesubiri watoto wa wakulima watavyoumia baada ya kufukuzwa.
Huu ukatili huu? Kila kitu lazima polisi waingilie na kupiga na kuumiza watu. Inasikitisha kwa kweli.
ReplyDeletemi nadhani wanafunzi wana makosa makubwa kwani hamna sababu ya kugoma.warudi darsani waache vichochez vya wenzao wachache.pengne nalaum kuwabeza kuwa wana maksi ndogo kidato cha sita kwa sababu mim kuna rafk yangu ambaye alpata dv 1 kama mim lakn mi sasa nko muhimbili so wavumilie wahtmu masomo
ReplyDelete