Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona, (kulia) akiwazawadia wazee wa Mji mdogo wa Mirerani sh50,000 baada ya kuzungumza nao na kuwakabidhi msaada wa magunia 100 ya mahindi yaliyotolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya TanzaniteOne Hussein Gonga.
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona, akigawa kwa wazee wa mji mdogo wa Mirerani, moja kati ya magunia 100 ya mahindi ya msaada yaliyotolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya TanzaniteOne Hussein Gonga, kwenye ofisi za Sawata.
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona, akizungumza na wazee wa mji mdogo wa Mirerani na kuwagawia msaada wa magunia 100 ya mahindi ya msaada yaliyotolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya TanzaniteOne Hussein Gonga, kwenye ofisi za Sawata.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...