Pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad
pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa
Wabunge watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wamefikishwa mahakama ya Kisutu hivi punde kwa tuhuma za rushwa,Wabunge hao kama waoenekanavyo pichani ni Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa
TAARIFA KAMILI ITAWAJIA HAPO BAADAE KIDOGO .




The mdudu, mmekwisha hii ni serikali ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli mtatia akili na mtajuta mtafilisiwa kila kilicho chenu coz mme vipata kwa njia za UFISADI na huo mtumbo utashuka ukiwa Keko chezea nyapara wewe hata aibu hamna juzi tu mme chaguliwa na wanachi, tupeni lupango hao miaka 50 au maisha jera coz hawana tofauti na wauwaji
ReplyDelete