Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu akipokea Kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mikocheni, jijini Dar es salaam leo Machi 16, 2016 baada ya kutangaza kurejea kwenye Chama chake hicho cha awali alichokihama mwishoni mwa mwaka jana.
Balozi Juma Mwapachu akizungumza mbele ya Wanachama na Makada wa CCM waliofika Ofisi ya chama hicho Kata ya Mikocheni jijini Dar baada ya kurudi kundini.
Balozi Juma Mwapachu akipongezwa na Mwanachama wa CCM.
Ifuatayo ndiyo hotuba aliyoisoma Balozi Mwapachu katika hafla hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu mzee nae kachemsha, mzee mzima bado anataka uwaziri. Namshauri aachane na siasa ajipumzishe

    ReplyDelete
  2. Hahahaaaaa! Kingunge naye arudi. Naona aibu tu ndo inawamaliza. Mwana mpotevu arudi kundini.

    ReplyDelete
  3. Huyu ni kinyonga; atabaki kinyonga, kama sio popo!

    ReplyDelete
  4. Wa tanzania Tue puke unafiki na uchu wa madaraka. Watu walioheshimika na jamiiforum wanajishusha kwa uchu wa madaraka na kujikeza. Watu wa na na hii ni hata ri sana ku deal na. Wanabadilika kama Vinyonga. Water dali wote kuweza makin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...