Wananchi wa Kalebezo wilayani Chato  wakionyesha mabango wakati Waziri Mkuu, KassimMajaliwa alipopita kijijini kwao  akitoka Ngara kuelekea Chato mkoani Geita
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Jafari baada ya kuwahutubia wananchi wa kata ya Kasulo wilayani Ngara Machi 16, 2016. Alikuwa katika siku ya mwisho ya zira ya mkoa wa Kagera. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba baada ya kuwasili kwenye   Ofisi yaMkurugenzi  wa Wilaya yaChato kuanza ziara ya  Mkoa wa geita. Picha na PMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi hiyo ni 'Scarf' au ni nini ambayo amefungwa au niseme kuvishwa Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Hivi zile 'Scarf' za asili za enzi hizo hazipo, hazitumiki au ziliishia wapi? Nakumbuka tulikuwa tukijifunga kwenye gwaride (chipukizi) au hata kuwafunga viongozi wetu pale inapobidi kuwafanyia hivyo, Hizi za siku hizi madoido mengi na kwa ghafla unaweza kubabaika kama ndio hiyo imekusudiwa au kitu kingine. Nakhisi tungeliendelea kuzienzi na kuzitumia zile zile 'Original' hata ikiwezekana ziwekeni japo 'spare' kwenye Mikoa, Wilaya na hata vijijini, ili viongozi wetu wanapotembelea na ikalazimika kuwafunga/kuwavisha, basi zitumike hizo kama rasmi. Hata hivyo napongeza ubunifu wa hiyo aliyofungwa/kuvishwa Mh. Waziri Mkuu, huenda mazingira husika yamelazimu na kupelekea upatikanaji wa hiyo. Hayo ni maoni yangu tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...