Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu akipokea Kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mikocheni, jijini Dar es salaam leo Machi 16, 2016 baada ya kutangaza kurejea kwenye Chama chake hicho cha awali alichokihama mwishoni mwa mwaka jana.
Balozi Juma Mwapachu akizungumza mbele ya Wanachama na Makada wa CCM waliofika Ofisi ya chama hicho Kata ya Mikocheni jijini Dar baada ya kurudi kundini.
Huyu mzee nae kachemsha, mzee mzima bado anataka uwaziri. Namshauri aachane na siasa ajipumzishe
ReplyDeleteHahahaaaaa! Kingunge naye arudi. Naona aibu tu ndo inawamaliza. Mwana mpotevu arudi kundini.
ReplyDeleteHuyu ni kinyonga; atabaki kinyonga, kama sio popo!
ReplyDeleteWa tanzania Tue puke unafiki na uchu wa madaraka. Watu walioheshimika na jamiiforum wanajishusha kwa uchu wa madaraka na kujikeza. Watu wa na na hii ni hata ri sana ku deal na. Wanabadilika kama Vinyonga. Water dali wote kuweza makin
ReplyDelete