KFC Tanzania General Manager, Louis Venter (Center) celebrates YUM Award for best KFC Franchise in Africa
(from left to right) Carol Taylor—General Manager – Kuku Foods LTD- Ugand, Chris Johnson—Market Manager –YUM –Africa, Phil Gutsche Jnr—Chairman Kuku Foods LTD -East Africa, Louis Venter—General Manager –Kuku Foods LTD- Tanzania, Derrick van Houten—Managing Director –Kuku Foods LTD –East Africa and Justin Melvin- General Manager – Kuku Foods LTD -Kenya.
Rico Legaspi, Area Coach KFC Tanzania, winning YUM TOP 10 Customer award at Annual Conference in South Africa in a separate occasion.
KUKU Foods East Africa Holdings Ltd (Washirika wa KFC Afrika Mashariki) wamepewa tuzo ya kuwa mgahawa bora wa mwaka kwenye mkutano wa 2016 wa uongozi uliofanyika mjini Capetown Afrika ya kusini.
Katika hotuba yake ,Mkurugenzi Mtendaji wa KFC Afrika, Doug Smart alisema KFEA imepata tuzo kwa mafanikio walio yaonyesha kwenye utekelezaji mzuri wa mipango ya kibiashara na kukamilisha malengo ya 2015, ukuaji mkubwa wa biashara za watu , migahawa mipya na ya kisasa na maoni mazuri kutoka kwa wateja kuhusu bidhaa zetu na uzoefu uliopo kwenye bara hili katika tafiti za stoo kubwa. Tafiti na: Guest Experience Survey (GES
Tuzo za mgawaha bora wa mwaka zinatolewa kila mwaka kwenda kwa mgahawa unaostahili kwa kufuata vigezo vya migahawa, nia ya ushirikiano, uwezo na kutoa huduma bora kwa mteja, uongozi mzuri, ubunifu na mauzo yakinifu, ujenzi wa migahawa mipya ya KFC na ubora wa migahawa iliyopo kati ya michache.
Mbali na kupata tuzo ya mgahawa bora wa mwaka, KFEA pia imechaguliwa kama Mwendelezaji wa mwaka “developer of the year” pamoja na ‘People grower of the year’ yote yakiwa ni mafanikio makubwa kwa pamoja.
KFEA ni mgahawa wa kwanza Afrika ya kusini kupata Tuzo hii. Kwa mwaka huu KFEA inatazamia kupanua wigo wake kwa kuenea sehemu mbali mbali kwa kufungua matawi mengine 9. Sasa ule usemi wa full kujichana umetimia. “its finger lickin’ good.
Wapi MIPINGO? au ndo neo-colonisation hii, taratibu kama walivyo wasambaratisha wahindi wekundu.
ReplyDelete