Waziri Mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chadema na kuungwa mkono na ukawa Mhe. Edward Lowassa akisalimiana na Askofu wa KKKT Mashariki na Pwani Dkt. Alex Malasusa wakati wa ibada ya shukran katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam ambapo Mhe. Lowassa alitoa shukran kwa Mungu kwa kumaliza kwa amani na usalama harakati za uchaguzi nchini.
Home
Unlabelled
Lowassa amshukuru mungu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...