Mkurungenzi wa EFM redio Francis Siza katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo alipotembelea kituo hicho cha Redio cha EFM ziara hiyo ilikuwa kuangalia utendaji kazi wa redio hiyo pamoja na kujadiliana mambo kadha wa kadha yahusianayo na jamii kwa ujumla.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na baadhi ya ya watangazaji wa kipindi cha UHONDO ambao ni Dina Marios, Swebe Santana pamoja na Sofia Amani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika kitengo cha mauzo na masoko cha EFM redio akizungumza na maafisa masoko wa kituo hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa chumba cha uzalishaji (Production) cha EFM redio akiwa katika kitengo cha utafiti, mawasiliano na ubunifu.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...