Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo ambaye pia ni Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini Bw. Alvaro Rodriguez akimweleza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi nia ya Mashirika hayo ya kuisaidia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika masuala mbalimbali. Bw. Rodrequez alimtembelea Mhe. Kitwanga ofisini kwake leo. Kushoto ni Afisa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) Bi. Gertrude Lyatuu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Mhe. Charles Kitwanga akimshukuru Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yaliyoko hapa nchini Bw. Alvaro Rodrigues kwa
kueleza nia ya Mashirika hayo kutaka kuisaidia Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi. Bw. Rodrequez alimtembelea Mhe. Kitwanga ofisini kwake leo. Kushoto ni
Afisa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) Bi. Gertrude
Lyatuu.
(PICHA
ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI– WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...