Mkurugenzi wa Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Patience Ntwina (katikati) akiongea katika kikao na wawakilishi katika sekta ya sheria kutoka nchini Botswana walipotembelea Wizara ya Katiba na Sheria leo jijini Dar es Salaam.
Wawakilishi katika sekta ya sheria kutoka Nchini Botswana wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju (hayupo pichani) alipokuwa akiongea nao kuhusu masuala mbalimbali ya Haki za Binadamu na Utawala Bora walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar Es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...