Kaimu ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo wa Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela akizungumza kuhusiana na
huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo kwa wateja katika mkutano mkuu wa
nane wa mwaka 2015 wa wanachama wa mfuko
wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF)
jijini Arusha, juzi. Pamoja na wasilisho hilo, pia NMB ilizindua akaunti
maalumu kwa ajili ya kukopesha wanachama wapya wa mfuko huo fedha kwa ajili ya
kuanzia maisha.
Home
Unlabelled
NMB YAZINDUA AKAUNTI RASMI KWA WANACHAMA WAPYA LAPF.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...