Bw. Jeyapaulraj, akipokea nyaraka kwa niaba ya Abu Dhabi Indian School, mshindi wa shule na kituo cha kikundi cha watoto yatima.
 Bibi Atija, akipokea nyara kwa niaba ya Mkuu wa Umoja wa Wanawake, mshindi wa kikundi cha wazee.
Wafanyakazi wa Shirika la Ndege Etihad, Wahudumu wa watoto, marubani, Ali Al Shamsi, Makamu Rais wa mikakati akiwa na watoto wenye Autism.

CHINI ya ulezi wake Mtukufu, Sheikha Shamsa bint Hamdan Bin Mohamed Al Nahyan, Mheshimiwa Mwenyekiti wa kituo cha Autism mjini Abu Dhabi, Shirika la ndege la Etihad limeendesha hafla hiyo ya kuchangisha fedha kwa sababu maalum kupitia matembezi.



Zaidi ya washiriki 5,200 wa kila umri walikusanyika katika bustani za Al Mushrif Central  Mjini Abu Dhabi siku ya Ijumaa Machi 18 kushiriki katika tukio la matembezi ya dakika  30.



Fedha zote zilizotolewa katika tukio zitakwenda katika ujenzi wa jengo jipya litalokuwa kituo kipya cha utabibu mjini Abu Dhabi kwa ajili ya waathirika wa ugonjwa wa Autism, pamoja na ukarabati wa shule nchini India.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...