Golikipa wa Tanzania Prisons, Beno Kakolanya akiokoa hatari langoni mwake mbele ya beki wa Simba, Justice Majabvi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo timu ya Sima imeweza kuchomoza na ushindi wa bao 1-0 na kujitika kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo kwa kufikisha pointi 54. (Picha na Francis Dande)
Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib akimtoka beki wa Tanzania Prisons, Jumanne Elfadhil
Benki wa Simba, Mohamed Hussein akimiliki mpira.
Beki wa Prisons Laurian Mpalile akichuana na Daniel Lyanga
Masahabiki wa Simba wakishangilia timu yao.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...