Waziri wa maji aendelea na utumbuaji majipu baada ya leo kuiagiza bodi ya DAWASCO kusimamisha watumishi 9 kwa tuhuma za ufisadi.https://youtu.be/h3UhTNR7KI8
Serikali ya Vietnam yakubali kuisaidia Tanzania katika kutafuta mbegu bora za mazao, kuongeza thamani ya mazao pamoja na namna ya kutafuta masoko moja kwa moja kwenye soko la dunia. https://youtu.be/hj6jUJpJGGg
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema Edward Lowassa amtembelea na kumjulia hali Maalim Seif huku pia akizungumzia uteuzi wa Chadema.https://youtu.be/ihkX8df4Kxc
Majeruhi watatu waliofukiwa na kifusi katika machimbo ya Nyarugusu mkoani Geita wahamishiwa hospitali ya rufaa ya Bugando baada ya hali zao kuwa mbaya. https://youtu.be/qtzPSdZdVT0
Jeshi la polisi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere wakamata watuhumiwa 2 waliokuwa wakisafirisha madawa ya kulevya kuelekea nchini Canada. https://youtu.be/jFNx_0_7Elk
Wafanyakazi wa kiwanda cha uzalishaji wa mbolea cha Minjingu wagoma kufanya kazi kutokana na madai mbalimbali kwa uongozi wa kiwanda hicho.https://youtu.be/1MpubZhiIGM
Rais wa baraza la habari Tanzania jaji mstaafu Thomas Mihayo awaapisha majaji wateule 9 ambao ni miongoni mwa majaji 10 walioteuliwa kuunda jopo litakalo simamia mchakato na hatimaye kupata washindi wa tuzo za umahiri wa uandishi wa habari kwa mwaka 2015. https://youtu.be/Kw7dgmxMyrY
Waziri wa maji atumbua majipu, kwa kuagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi waandamizi 9 wa DAWASCO kufuatia utendaji usioridhisha.https://youtu.be/TXr1PRq4iZ8
Wakala wa majengo nchini TBA aingia makataba na kampuni ya udalali ya YONO AUCTION MART kukusanya madeni yanayodaiwa na wakala huo kutoka kwa wapangaji na wanunuzi wa nyumba za serikali.https://youtu.be/TjCWqg3i4aQ
Ziara ya siku 4 ya Rais wa Vietnam nchini yamalizika hii leo na kuondoka nchini kuelekea nchini Msumbiji kwa Ziara nyingine ya kikazi. https://youtu.be/Efn9Q-PEV7k
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC, yathibisha kupokea karatasi za kupigia kura kutoka nchini Afrika kusini. https://youtu.be/TrSraEcms9E


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...