Simu.tv: Watu 2 wapoteza maisha na wengine 12 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Ndenjela kugonga gari dogo aina Hiace mkoani Mbeya.https://youtu.be/LmppVsMtlq4
Simu.tv: Mamia ya wananchi katika mkoa wa Kilimnjaro wanatarajia kunufaika na miradi mipya ya maji inayotekelezwa katika vijiji mbalimbali vilivyoko katika wilaya ya Siha. https://youtu.be/MNAhIdInOc4
Simu.tv: Waziri mkuu awataka wahamiaji haramu walioingia nchini bila kuwa na vibali maalum kuondoka nchini mara moja kwa hiari yao wenyewe kabla ya msako wa kuwasaka kwa nguvu haujaanza. https://youtu.be/x1hh2vso5i4
Simu.tv: Serikali kupitia wizara ya Afya yaagiza wamiliki wa maduka ya dawa yasiyo na vibali kufunga maduka hayo mara moja. https://youtu.be/eBmM-5O1I0I
Simu.tv: Taharuki yawakumba wakazi wa Manispaa ya Musoma kufuatia watu wanaodhaniwa kuwa majambazi kuwaua watu wawili kinyama na kisha kufanya uporaji. https://youtu.be/RmZDi1eGmK4
Simu.tv: TAKUKURU mkoani Mara inamshikilia mhasibu wa mfuko wa bima ya Afya mkoani humo kwa tuhuma za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.https://youtu.be/tBrmYA2WwcM
Simu.tv: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka watanzania kutunza na kulinda rasilimali za nchi ili vizazi vijavyo viweze kunufaika na rasilimali hizo.https://youtu.be/ZB4xy_F7c-Q
Simu.tv: Maduka 432 ya dawa muhimu yamefungwa baada ya kubainika kuwa hayakidhi matakwa ya kutoa huduma hiyo kisheria pamoja na kukutwa na dawa za serikali kinyume cha sheria. https://youtu.be/Q2YD-F6A02s
Simu.tv: Katibu wa wizara ya mali asili na utalii Meja Generali Gaudence Milanzi asema serikali inaangalia namna ya kufanya ukaguzi wa meno ya tembo yaliko nchini ili kubaini idadi iliyopo hivi sasa. https://youtu.be/ePH0nsWm_D8
Simu.tv: Katibu wa Bunge Dr. Thomas Kashilila azungumzia ukarabati unaoendelea katika ukumbi wa bunge mkoani Dodoma na kusema unaendelea vizuri na unatarajiwa kukamilika kabala ya vikao vya bunge mwezi ujao. https://youtu.be/9Vh7va-JopU
Simu.tv: Waziri wa nchi ofisi ya Rais utumishi na utawala bora Angella Kairuki asisitiza kuwa watu wanaotumia fedha za mfuko wamaendeleo ya jamii TASAF kinyume na malengo yaliyowekwa watachukuliwa hatua za kisheria.https://youtu.be/zCSZoZL_xMA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...