Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akiongea na viongozi wa Chama cha Mabenki Tanzania (TBA) wakati walipomtembelea ofisini kwake 30 Machi, 2016 jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongea na viongozi wa Chama cha Mabenki Tanzania (TBA) wakati walipomtembelea Spika ofisini kwake 30 Machi, 2016 jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wajumbe wa Chama cha Mabenki (TBA) Bwana Neech Msuya (kushoto) akifafanua jambo mbele ya Spika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (hayupo pichani) wakati walipomtembelea ofisini kwake 30 Machi, 2016 jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wajumbe wa Chama cha Mabenki (TBA) Bwana Shani Kinswaga (kushoto) akifafanua jambo mbele ya Spika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (hayupo pichani) wakati walipomtembelea ofisini kwake 30 Machi, 2016 jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...