Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait Mhandisi Yousef Al Fozan , (kushoto) aliyeongozana na maofisa wake wakati walipowasili ofisini kwake jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait. Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya kati wa Wizara hiyo,Balozi Abdallah Kilima na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ua Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto) wakisaini hati za makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania , hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto) wakibadilishana hati za makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania , hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Maana yake ni nini makubaliano ya anga kati ya Kuwait na Tanzania, kwa sababu habari imejaa picha nyingi lakini haielezei mfano labda shirika la Etihad watakuwa wanafanya safari zaidi Tanzania n.k msomaji wa Globu anakuwa hajafaidika na habari hii zaidi ya kuona viongozi wakitia saini mkataba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...