Ujenzi wa Barabara ya Mwananyamala ukiendelea kwa kasi kadri siku zinavyosonga, pichani ni baadhi ya mafundi wakiendelea na ujenzi wa barabara hiyo, kama walivyokutwa leo. ukarabati wa barabara hii umekuja kufuatia kauli wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipotoa siku 14 kuhakikisha njia hii inapitika na tatizo la mahandakizz katika barabara hiyo liwe ni historia.
 Sina hakika kama barabara hii ina urefu wa KM. 30, mambo ndio yanaendea hivyo.
 Mafundi wakilichanganya zege.
Muongoza magari akielekeza njia ya kupita.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...