Shirika la Ndege la RwandAir hapa nchini linapenda kuwafahamisha wasafiri wake kuelekea nchi za Rwanda na Kenya kuwa wanahitajika kuwa na vitabu vya chanjo (Yellow Fever) wakati wa safari.

Taarifa hizo nikutokana na maagizo kutoka Wizara za Afya ya nchi hizo mbili. Hata hivyo Meneja mkazi hapa nchini,  Ndugu Ibrahim Bukenya anawaomba samahani wasafiri wote kwa usumbufu utakaojitokeza na kuwashukuru kwa kuchagua kusafiri na Shirika la RwandAir linalo toa huduma zake bora na zenye uhakika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...