Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira Mh. January
Makamba (Kushoto) akiangalia kitabu kinachohusu masuala ya utunzaji na
usimamizi wa mazingira cha (The quest for a greener cleaner, better and
peaceful world) Ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo,
(kulia) ni mwandishi wa kitabu hicho Dkt. Mohammed Shaban kutoka
hosptali ya Hindu-Mandal ambaye pia ni mwanaharakati wa
Mazingira..(Picha na Evelyn Mkokoi Ofisi ya Makamu wa Rais).
Home
Unlabelled
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MWANAHARAKATI WA MAZINGIRA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mazingira ndio namba 1 ili, tuishi maisha malefu!
ReplyDelete