Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ametoa andiko lake kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani. andiko hilo ambalo ameliandika kwa lugha ya Kiingereza na ambalo limo katika Tovuti ya Huffington Post, Dk. Kikwete anasema " When I was President of Tanzania, I remember visiting a district where 70 percent of the children were absent from school. They told me the problem was malaria. I sent my minister of health to investigate, and he confirmed it was true: a majority of children were missing school and falling behind because they had malaria. That was a wake-up call for all of us..." Kusoma zaidi andiko hilo BOFYA HAPA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...