Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. WATANZANIA ELIMU HOI!!!!, JINA MT. KILIMANJARO. MT. EVEREST. MT.KENYA, KILIMANJARO, NAIROBI, NGORONGORO, SERENGETI ETC HAYANA NA HAYAWEZI KAMWE KUWA NA HATI MILIKI. HII NI SAWA SAWA NA MAJINA YA WATU MFANO HASSAN, ALI, JOHN, ANNA NA KADHALIKA. YEYOTE ANAWEZA KUYATUMIA DUNIANI KOTE. HATA KISHERIA HAKUNA TAASISI YEYOYE INAYOWEZA KUANDIKISHA HATI MILIKI YA MAJINA YA WATU, MAHALI, KITU AU SEHEMU.

    WATANZANIA TUKIONA JINA LA MT. KILIMANJARO, NGORONGORO, SERENGETI, ZANZIBAR LIMEANDIKWA KWENYE NDEGE YA KENYA AU KLM BASI TUNATAHARUKI NA KUFIKIRI SI SAHIHI. BASI LEO TUJUE KUWA NI SAHIHI KABISA NA NI KISHERIA PIA BILA MALIPO. AIR TANZANIA, MABASI YETU NA KWENYE GARI LAKO PIA UNAWEZA KUANDIKA MAJINA LONDON, MT. KENYA, NAKURU, KISUMU NO PROBLEM.

    MWISHO KAMA SISI TUNA KITU AMBACHO NI CHA THAMANI LAKINI TUMELALA FOFOFO,AU HATUNA MAARIFA YA KUKITUMIA BASI TUSIWACHUKIE WENZETU MWENYE MAARIFA NA WANAKITUMIA KWA FAIDA ZETU WOTE. MAANA HAPO JUU KLM KATOA ADVERTISEMENT YA BURE YA MLIMA WETU NA HIVYO KUSAIDIA KUVUTIA UTALII.

    ALEX BURA DAR.

    ReplyDelete
  2. Free advertisement! be happy and sepa.

    ReplyDelete
  3. ja ajabu ni nini? kwani wameanza leo.... if I was the owner I will allow them to use and I charge them

    ReplyDelete
  4. Michuzi acha kutafuta uchokozi na kick! Fikra na Mawazo yetu yotee yako kwenye mtanange wa bomba la mafuta

    ReplyDelete
  5. Ina maana ukipanda KLM basi utafika Mt. Kilimanjaro kwa sababu ni usafiri wa uhakika kufifa Kilimanajari Intl airport Tanzania.

    ReplyDelete
  6. Hata utakuta meli ya makampuni ya nje imesajiliwa kwa jina la ''MV Ruvuma'' huko Panama, Marekani ya Kusini.

    Jina la ''Ukanda wa Gaza'' utalikuta pia ktk vichochoro vya mitaa ya Bongo au utasikia mtu jijini DSM anasema anakaa Gongo la Mboto ''Golan'.

    ReplyDelete
  7. TTB wao hawaioni ni free advertisement! Wao wanataka kila kitu walipie wapate ten percent yao. Hiyo hakuna tena enzi ya Magufuli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...