Home
Unlabelled
KASI YA ONGEZEKO LA WATU LIENDE SAMBAMBA NA MIPANGO BORA YA MAENDELEO - NDUGULILE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sikubalini kuwa tatizo la madawati au madarasa haliwezi kwisha kwa sababu watu wanazaliwa milioni moja kila mwaka , tukumbuke pia kila mwaka kuna wanafunzi ambao watakuwa wamemaliza shule na wengine kwenda vyuoni , ndugulile usituvunje moyo tafadhali kazirudie takwimu duniani kote watu huwa wanaongezeka kila mwaka kwa kila nchi lakini mbona wenzetu hawana tatizo? nafikiri takwimu bado hamjaweza kuzifahamu na mipangilio mibovu tu hakuna lengine. Kabla ya miaka mitano kwisha ya magufuli madarasa yatakuwa yametosha na madawati pia nina uhakika.
ReplyDeleteUmesema kweli Mhe. Ndugulile. Kasi ya kuzaliana imechangia kwa kiasi kikubwa kushindwa kwa serikali kuwahudumia ipasavyo wananchi wake hususan ktk kutoa huduma za afya na elimu. Mfano mzuri, ni hii ishu ya elimu bure. Hapo kabla tatizo la vyumba vya madarasa halikuwa kubwa kama lilivyo sasa ambapo tumeshuhudia 'mafuriko' ya watoto mashuleni. Kwa ongezeko hili serikali italazimika kuongeza fedha ili kugharamia madawati, vyoo, vyumba vya madarasa, n.k. Ni wakati kwa wabunge kuielekeza serikali kuongeza bajeti ktk kudhibiti uzazi holela. Ikibidi bunge litunge sheria itakayowazuia watu kutokuzaa zaidi ya watoto wawili kwa miaka 15 ijayo. Ni mtazamo tu.
ReplyDelete