Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, 
Ndg. Shaka Hamdu Shaka.

Na George Binagi-GB Pazzo @BMG.
Katibu Mkuu Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM Taifa), Shaka Hamdu Shaka, hii leo anatarajiwa kuunguruma Jijini Mwanza, katika Mkutano wa hadhara utakaofanyika katika Uwanja wa Magomeni Kirumba, Wilaya ya Ilemela, Mkoani Mwanza.
Zaidi Bonyeza HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...