Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ni aibu. Hata ukusanyaji taka umewashinda watunza jiji (Halmashauri)la Mbeya. Na maji taka yapo hata katikati ya jiji kwa muda mrefu, miaka mingi,mkabala na jengo la NIC karibu na kituo cha mafuta.Na ujenzi na utunzaji wa barabara za jiji umewashinda. Barabara ya Mwambenja hoi kabisa na ndipo maji taka yanapotiririka. Barabara hii haijaona ukarabati wala matunzo ya HAlmashauri kwa zaidi ya miaka 15.Ghana na Majengo barabara zilzokuwa na lami miaka ya 60 saa hizi hoi kabisa. Michuzi zungusha kamera zako kwenye jiji hili kuwashtua weneye madaraka.

    ReplyDelete
  2. Mifereji pembeni ya barabara ni ujenzi uliopitwa na wakati. Na ninyi wana Mbeya inabidi mbadilike, siyo tu kulalamika. Kwanini mnatupa takataka kwenye mifereji. Tafuteni sehemu moja ya kutupa ndipo muanze kulaumu serikali kwa kushindwa kuja kuchukua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...