Meya wa Halmashauri Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kusaini Mkataba na Kampuni ya MS/H.P GAUFF INGENIEURE GMBH&CO,KG-JBG kwa ajili ya Ujenzi wa Barabara za Halmashauri ya Kindondoni kwa kiwango cha lami ambazo zitapunguza msongamano pamoja na ujenzi wa mifereji ya kusafirishia maji ,leo jijini Dar es Salaam.kushoto ni Meneja wa Tawi la Gauff Consultants, Thorsten Seitz
Meneja wa Tawi la Gauff Consultants, Thorsten Seitz, akizugumza na kuishukuru Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwakumpa kampuni yake Zabuni hiyo leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meya wa Halmashauri Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Aron Kagulumjuli.
Mkataba kisaniwa.
Meya wa Halmashauri Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob wa (kushoto) akimkabidhi mkataba Meneja wa Tawi la Gauff Consultants, Thorsten Seitz.
(Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya Jamii).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...