Mbunge wa Jimbo Kinondoni, Maulid Mtulia akizungumza na wananchi Jimboni kwake juu ya kuwasisitiza wananchi kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambayo kwasasa inapatikana Jimboni kwake kwa ada ya shilingi elfu 40,000 kwa mwaka mzima. mwananchi ukiwa na kadi hiyo utamuona Daktali utapa vipimo na kupatiawa dawa. bila kutoa gharama yoyote, katika mkutano huo ulifanyika kwenye viwanja vya Magomeni jijini Dar es Salaam.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob kizungumza na wananchi wa Wilaya yake juu ya kuwashawishi Serikali iwalipe fidia waliobomolewa nyumba zao lakini mbali na hayo mpaka sasa waathirika wote wameandaliwa mpango maalumu ili kunusuru Maisha yao.
(Picha na Emmanuel Massaka ya Globu ya Jamii)
Asanteni sana kwa serikali ya awamu ya tano kwa kusaidia jamii hasa mkilenga jamii ya watu maskini kwa upande huu wa afya.Sasa niwaombe mtufahaamishe ni utaratibu gani tunaufata kupata hiyo bima kwasababu kuna kipindi nimeingia ofisi ya kinondoni nikaambiwa bima iliyopo niya 1.5
ReplyDelete