Mbunge wa Monduli Julius Kalanga akizungumza na
Wanafunzi wa shule
ya Sekondari Moringe iliyoko wilayani humo jana wakati wa mahafali ya
kidato cha sita
Sehemu ya wanafunzi wahitimu wakiwa wanasikiliza amgeni rasmi kwa
makini
Mbunge wa Monduli Mhe. Julius Kalangaakiwa akigawa cheti kwa
mmoja wa wanafunzi aliyemaliza (Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii,Monduli)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...