Mdau mkongwe wa Globu ya Jamii nchini Uingereza Mariam Mungula leo kalamba nondozzzz yake ya Masters of Science (MSc Public Policy and Management) ya Chuo Kikuu cha Birbeck University of London
Mariam akifurahia nondozzz yake
Familia ilikuwepo kumshangilia Mariam kwa kulamba nondozzzz
Selfie kwa wingi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...