Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula (Mb), (katikati) akiwa na viongozi wa chuo cha Ardhi – Morogoro pamoja na wahitimu katika mahafali ya 34 ya chuo hicho, wa pili kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Upimaji na Ramani; Bwn. Justo Lyamuya.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula (Mb), akipewa maelezo juu ya matumizi ya kifaa cha upimaji (Total Station) na mmoja wa wanafunzi wa chuo cha Ardhi – Morogoro ambaye pia ni mhitimu katika mahafali ya 34 ya chuo hicho.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula (Mb), akijaribisha kifaa cha upimaji (Total Station) kinachotumiwa na wanafunzi wa Chuo cha Ardhi – Morogoro kupima, katika mahafali ya 34 yaliyofanyika chuoni hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...