Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akifungua, Mkutano wa Watunza kumbukumbu Jijini Dar es Salaam leo.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Baadhi ya washiriki toka Mikoa Mbalimbali wakimsiliza Mkuu wa Mkoa Paul Mamonda (hayupo pichani) na mwenyeji mwenyeji wao, Elizabeth Mlindoko (wa pili kulia) kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI).
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...