Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula (Mb), akijaribu kutumia kifaa cha
upimaji (Total Station) kinachotumiwa na wanafunzi wa Chuo cha Ardhi mjini Morogoro kupima, katika mahafali ya 34 yaliyofanyika
chuoni hapo.
Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula (Mb), akipewa maelezo juu ya
matumizi ya kifaa cha upimaji (Total
Station) na mmoja wa wanafunzi wa chuo cha Ardhi Morogoro ambaye pia ni
mhitimu katika mahafali ya 34 ya chuo hicho.
Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula (Mb), (katikati) akiwa na viongozi wa chuo cha Ardhi –
Morogoro pamoja na wahitimu katika mahafali ya 34 ya chuo hicho, wa pili kulia
kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Upimaji na Ramani; Bwn. Justo Lyamuya.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...