Shirika la Ndege la RwandAir hapa nchini linapenda kuwatangazia Watanzania wote na wasafiri wa Ndege zake, kuwa wamenza kufanya safari zake za anga katika miji 17 kwa nchi za Afrika Mashariki na kati likiwa na ndege kubwa nane.
Shirika hilo hivi karibuni, litaongeza ndege nyingine kubwa nne (mbili ni Airbus na mbili Boeing) na kufanya kuwa na jumla ya ndege kumi na mbili.
Mbali na safari za ndani ya Afrika Mashariki na kati, Ndege hizo mpya pia zitakuwa zikiruka kwenda kwenye miji ya Mumbay (India), Guangzhou (China), Paris (Ufaransa) na London (Uingereza).
Mbali na safari za ndani ya Afrika Mashariki na kati, Ndege hizo mpya pia zitakuwa zikiruka kwenda kwenye miji ya Mumbay (India), Guangzhou (China), Paris (Ufaransa) na London (Uingereza).
Hayo yamesemwa na Meneja Mkazi wa Shirika hilo hapa nchini, Ibrahim Bukenya. Pia anapenda kuwajurisha kuwa bei zao ni nafuu na hudumu nzuri kuanzi kukata tiketi hadi mwisho wa safari.



Shirika sasa kufanya safari ktk miji 17 Afrika Mashariki.... Ndege hizo zitaruka miji ya Mumbay, Guangzhou, PAris na London.......
ReplyDeleteSijaielewa hii habari.. sasa hiyo miji iliyotajwa ipo Afrika Mashariki kweli??
Pamoja na shirika letu la ndege za anga za abiria kutapeliwa na wqzawa, kuna madudu menginne ya ubepari yenye mlengo wa wakubwa kuwekeza katika kampuni za ndege za anga za binafsi (PrecionAir, FastJet na hizo za Kiarabu kutoka Mashariki ya Kati.)
ReplyDeleteNa ubepari wanamna hii utaendelea kuua mashirika hayo ya umma, kama Air Tanzania na Reli (wakubwa wana miradi ya malori makubwa ya kusafirisha bidhaa.)