SIMU.TV: Mh.Lutengano aibana serikali juu ya ahadi yake ya kupeleka magari ya kubebea wagonjwa katika hospitali za halmashauri ya Mufindi; https://youtu.be/0DB8S1lMD7c
SIMU.TV: Mh.Suleiman Jafo akijibu swali la Mh.Dkt Prudenciana juu ya upatikanaji wa maji safi na salama katika kata mbalimbali za Katavi; https://youtu.be/VjkXWysICrE
SIMU.TV: Sikiliza jinsi Mh.Martha Mlata alivyowachomea wakandarasi wanaochukua tenda za miradi mbalimbali ya serikali; https://youtu.be/EdRPb9hYss0
SIMU.TV: Mh. Mtabaliba aihoji serikali juu ya usitishwaji wa mkataba wa kutoa huduma kwa wazee kati ya halmashauri na hospitali ya Buhigwe; https://youtu.be/mhT7wnTO6II
SIMU.TV: Mh. Halima Mdee aitaka serikali kutoa taarifa kuhusu wapi imefikia katika kubaini gharama ya karo elekezi kwa shule binafsi nchini; https://youtu.be/GXlTK7H_7eg
SIMU.TV: Mh.Rweikiza aihoji serikali juu ya ujenzi wa chuo cha VETA katika mkoa wa Kagera kufuatia uhaba wa vyuo katika mkoa huo; https://youtu.be/n017qbV_71k
SIMU.TV: Mh.Hamadi Saalim aihoji serikali juu ya mpango wake wa kusaidia wavuvi wadogo ili kukuza na kuendeleza sekta ya uvuvi nchini; https://youtu.be/k6xj2vyB49o
SIMU.TV: Sikiliza jinsi serikali ilivyoweka mkakati ya kukabiliana na mauwaji ya albino, vikongwe na suala la kujichukulia sheria mkononi; https://youtu.be/vlvFTt92gSo
SIMU.TV: Mh. Hamida Abdala aihoji serikali juu ya utekelezaji wa sera ya kuendeleza viwanda na namna vijana wanavyonufaika na sera hiyo; https://youtu.be/jxq3ERelzXo
SIMU.TV: Mh.Chihuahua mbunge wa Masasi aibana serikali juu ya upanuzi wa mradi wa maji wa Bwinji mkoani Lindi; https://youtu.be/1iAMM-CwmI4
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...