Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Kamishna wa Uhamiaji George Goda alipowasili Kigamboni na mkewe mama Janeth Magufuli kuzindua daraja la Nyerere na Jumanne Aprili 19, 2016
Wadau kutoka sehemu mbali mbali wakishuhudia siku hii ya kihistoria
Viongozi wa taasisi mbalimbali pamoja na wananchi
Rais John Pombe Joseph Magufuliakichukua mkasi kukata utepe kuzindua daraja la Nyerere huko Kigamboni Jumanne Aprili 19, 2016.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...