Pichani kushoto ni wasamalia wema wakimsaidia mwendesha pikipiki hii iliyopo Barabarani, mara baada ya kupiga mweleka usiku huu katika eneo la Studio, Kinondoni,  jijini Dar es salaam. Mwendesha pikipiki alipata majeraha madogo ya mwili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...