: Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma, kushoto ni Katibu tawala wa mkoa wa Dodoma bibi. Rehema Madenge na kulia ni bi Anna Kimwela kutoka Tume ya Mipango.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma (Public Investment Management Operational Manual), kulia ni Kaimu katibu mtendaji wa Tume ya Mipango Bibi Florence Mwanri na kushoto ni katibu tawala wa Mkoa wa Dodoma Bibi Rehema Madenge.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa hotuba katika mkutano wa uzinduzi wa kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma kilichofanyika mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (wa tano kutoka kushoto kwa waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano mara baada ya uzinduzi wa kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...