Waziri  wa Kilimo,Mifugo na Uvivu Mh.Mwingulu Nchemba na Waziri wa Maliasili Jumanne Magembe(wa tatu kushoto) wametembelea wilaya ya Bukombe na kuongea na Wafugaji wa Ng'ombe wanaolisha Mifugo katika Hifadhi ya Kigosi  Moyowosi. Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Jumanne Magembe ametoa miezi miwili kwa wafugaji kutoa Mifugo katika hifadhi hiyo leo (jana) April 2,2016 mpaka Juni 15,2016.
Pichani juu na chini ni wananchi wa Wilaya ya Bukombe wakisikiliza yalikuwa yakijadiliwa kwenye mkutano huo uliowahusisha wafuga.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...