Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Duh Mheshimiwa Nape shukurani sana kwa kushiriki katika msiba huu,lakini chonde baba kuhusu kodi za shughuli za kikazi kwa wageni hapa tunakuomba mkuu pasiwepo na undugu kwa tax ndio mpango mzima,kuhusu suhala la uraia pia chonde chonde baba pasiwepo short cut uraia wa Tanzania sio chupa ya maji safi heti ni offer,kama ni offer basi fikiria kwanza watanzania wenzetu walio nje

    ReplyDelete
  2. eh bhana waziri Nape kuhusu uraia wa tanzania siyo sadaka lazima wausotee na wajue umuhimu wake hiye wanapata pasipoti na kuzifanya boti za kuwapelekea mbele,pia suhala la kodi walipe tu kama wageni wengine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...