Serikali/NSSF wafunge CCTV camera wahalifu wakamatwe watolewe picha magezitini wapate kuona aibu. Faini ya fedha haitoshi watu wana jeuri ya pesa. Tukiacha hivi mwisho taka zitarushwa baharini hapo itakuwa janga, madhara yake makubwa - MDAU WA MAZINGIRA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyo aliyetupa taka hapa ni mtu anayetutukana Maana tabia kama hii si upumbavu tu, ni kiburi juu ya upumbavu. Ningekutana naye ningependa kumuuliza,yeye ni kiumbe gani kwenye dunia hii

    ReplyDelete
  2. The mdudu, sasa huku nikutaniana na muheshimiwa rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli mkuu wa mkoa tunakuomba ulisimamie hili swala la ufungaji wa CCTV haraka sana na liwe linalindwa masaa 24 leo mnawalea watupa taka kama hao kesho mtu ataweza kuweka hata BOM au mlipuko wa ajabu, wajinga na washenzi kama hao yeyote akishikwa aende lupango miyaka 5 na akimaliza sarama kifungo chake asivuke tena au kulitumia tena hilo daraja mjomba Michuzi naomba tusameheane kwa hili huyu aliye tupa hizo TAKA hajazaliwa na binaadamu nahisi kakutwa kwenye kichaka

    ReplyDelete
  3. Muheshimiwa mkuu wa mkoa tafadhali sana fanya jitahada za makusudi Camera zifungwe hii ni hali ya hatari leo wametupa taka kesho ama siku yeyote wanaweza kuweka mlipuko yakatokea kama yaliyotokea Ubeligiji Allah atukinge na watu wabaya na pia nasema hawa ni watu wanaoichukia Serikali ya awamu ya tano! Kwakuongeza mara baada ya kufunga Camera masaa 24 zilindwe akionekana mtu wa aina hii apigwe faini isiopungua Milion tatu kisha apelekwe jela akaozee huko! Itakuwa fundisho kwa wengine! FUNGA CAMERA Mh Mkuu wa Mkoa.

    ReplyDelete
  4. hizo taka ni exhibit. Polisi wazichukue wazipekue watapata fingerprints za wahusika. wasakwe na kama mdau alivyopendekeza hapo juu faini milioni 3; jela miaka mitatu. Akitoka bakora (fimbo) tatu za kumbukusha asirudie tena. Tukilifumbia macho hili swala daraja litageuzwa dampo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...